Ujenzi wa Barabara ya Matondoni hadi Amu Mjini Wandelea

Picha ya Ujenzi wa Barabara ya Matodoni had Amu Mjini

Wakaazi wa Vijiji vya Matondoni na Kipungani niwenye kutabasamu baada ya shughuli za kuiweka cabro barabara inayounganisha vijiji hivi na mjini Amu, kupiga hatua na kuendelea kwa kasi.

Kupitia kwa halmashauri ya barabara za vijijini KeRRA, Mbunge wa Lamu Magharibi Bw. Stanley Muthama aliweza kutenga fedha kwa ajili ya kuiweka Cabro barabara hiyo muhimu ili kuinua uchumi na kuvipa thamani vijiji vya Matondoni na hata Kipungani.

“Ningependa kuishukuru serikali kuu ikiongozwa na Rais Uhuru Kenyatta kwa kututengea fedha zinazotuwezesha kutekeleza miradi kama hii inayowafaidi wananchi kwa kuwaimarishia uchumi wao,” amesema Bw. Muthama.

0 Reviews

Write a Review

The Vision Team

Read Previous

Lamu County Launches Subsidized Farming to Boost Food Security

Read Next

Governor Samboja to Launch Nyangoro Water Project Next Week

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *